[Full Music Lyrics]:- Harmonize – Hainistui

[Full Music Lyrics]:- Harmonize – Hainistui

Naijafinix-Official-Music-Lyrics-Artwork-Naijafinix-com-1

Harmonize – Hainistui Lyrics

Harmonize – Hainistui lyrics Yao yao, hahaha Jeshi (Young legendary)

Yii Kondeboy Eeh! Hainistui! Hainistui! Hainistui!

Hapa nilipo kesho yangu sijui Konde wenzako watakuroga(Hainishtui)

Au na wewe ushaogaa(Hainishtui)

Maana hunaga uoga(Hainishtui) Hapa nilipo kesho yangu sijui

Eeeh leo nimepata kesho nimekosa Kazi ya Mola haina makosa

 

Huyu kampa boda mwingine verosa Vuta subira ngoja

Mungu ajakutosa Majungu na fitina naaa naa Zigeuze changamotoo

Maneno muachie Amina naaa naa Dawa ya moto ni motoo (Oooh nananaaaah)

Wapo walosema Konde atapotea Konde atapotea

Ndege katia gia chombo iyo inapepea Chombo inapepea

 

Mi ninakula kwa jasho ooh-ooh Nipatacho naridhika

Ninasubiri kesho ooh-ooh Zamu yangu itafika

Nenda waambie, kwamba Eeh! Hainistui! Hainistui! Hainistui!

Hapa nilipo kesho yangu sijui Ah wenzako wanakuchukia(Hainistui!)

Tena wamepanga kukubania(Hainistui!) Isitoshe wao ni matajiri(Hainistui!)

 

Usijali we tumia tu akili(Hainistui!) Hapa nilipo kesho yangu sijui Yii!

Sinaga sifa za kujisifu najua Kila kukicha kwa Mungu naomba dua

Hustle nazidisha ili nizidi tusua Wakinifunika kesho nitawafunua

Tena waambie eeh eeeh Mchanga hauzikwi  Unaubadilisha makazi

Huwezi ziba riziki Bure utajipa kazii Mi niinakula kwa jasho ooh-ooh

 

Nipatacho naridhika Ninasubiri kesho ooh-ooh Zamu yangu itafika

Nenda waambie, kwamba Eeh! Hainistui! Hainistui! Hainistui!

Hapa nilipo kesho yangu sijui Mwana anakula tungi mbayaa(Hainishtui)

Yule dada anadanga, malaya(Hainishtui) Ataishi pabaya(Hainishtui)

Hapa nilipo kesho yangu sijui Ina-ina-inaa… (The mix killer)

 

Inauma ila itabidi wazoee Inauma ila itabidi wazoee

Wakimuona dodo na chopa Inauma ila itabidi wazoee

Eeeh siku izi KondeGang wanatuogopa Inauma ila itabidi wazoee

Oooh my God its Better Sound Hunter, hahahaha…

Kwako mwalimu kashasha…

ADVERTISE HERE

CLICK HERE TO COMMENT ON THIS POST

Do you find Naijafinix Blog Useful??

Click Here for Feedback and 5-Star Rating!



Be the first to comment

Share your thoughts

Your email address will not be published.