A talented Tanzanian music sensation and songwriter, Mbosso comes through with the official video of his impressive track called “Amepotea.”
Quotable Lyrics;
Vipeperushi vinasambaaa
Eti natafutwa
Nimepotea, wiki imekata
Ndugu wamechachamaa
Wananitafuta
Nimepotea mwezi imekataKazini sionekani
Yupo wapi huyu
Simuni sipatikaniYupo wapi huyu
Baba kaniuoizia
Yupo waapi huyu
Mama haishi kulia
Yupo wapi huyuMimi, nimezama katika kina
Kirefu cha bahari ya mapenzi
Nimezama katika kina
Kirefu cha bahari ya mapenzi
Sio mwana rahabu mlomkuta tanga
Watch the video below:
Share your thoughts